MUM News and Events

MUM kuanzisha kozi maalum kusaidia maendeleo ya Taifa
Posted on: 03 September, 2020

Katika kuhakikisha kinatoa wanafunzi wenye weledi katika kukuza uchumi wa Taifa, Chuo kikuu cha Waislamu cha Morogoro kinataraji kuongeza kozi mbalimbali zinazoendana na mahitaji ya jamii katika Nyanj...

Vyuo vikuu vyatakiwa kufanya tafiti zitakazosaidia Taifa
Posted on: 03 September, 2020

Vyuo vikuu nchini vimetakiwa kujikita katika kufanya tafiti zitakazochochea ukuaji wa uchumi wa nchi ikiwa sambamba na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watanzania.

Wito huo umetolewa le...

Tutaendelea kumuenzi Mkapa: MUM
Posted on: 03 September, 2020

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) umesema utaendelea kumuenzi aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Benjamini William Mkapa kwa mcha...

Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUMSO) wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Benki ya NMB nje ya jengo la tehama
Posted on: 19 August, 2020

NMB kujenga ATM ndani ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro


Serikali ya jumuiya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha waislamu Morogoro (MUMSO) imeiomba Benki ya NMB kuwajengea kituo kidogo cha...

IIUM GLOBAL E-FORUM BLACK LIVES MATTER: GLOBAL RESPONSES
Posted on: 10 August, 2020

Dear Brothers and Sisters,


Assalam alykum warahmatullahi wabarakaatuh!


You are warmly invited to the Zoom meeting onTeaching and Learning for Educational Management Principles from the Hol...