SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ALIYEKUA RAIS WA AWAMU YA TATU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA.
Kwa niaba ya jumuiya ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu...
Rais mteule wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha waislamu cha morogoro Hamis Juma Hamis ameapishwa July 21 baada ya uchaguzi uliofanyika july 19 mwaka huu.
Hamis ameshinda kwa kura 703, dhid...
Katibu mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles D. Kihampa akipata maelezo kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.