Katibu mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania atembelea Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro
Posted on: 14 July, 2020
Katibu mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles D. Kihampa akipata maelezo kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.