News and Events

KUMBUKIZI YA KIFO CHA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE

KUMBUKIZI YA KIFO CHA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro kinawatakia Watanzania wote Heri ya kumbukizi ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuyaenzi na kuiyafanyia kazi mazuri yote aliyoyaacha Mzee wetu kwa Maslahi ya Taifa letu.